GET /api/v0.1/hansard/entries/922473/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922473,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922473/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Leo amenoa kwa sababu amekuita “mzungumzishi”. Katika Bunge la Tanzania, Bwana Spika anaitwa Bwana Spika. Hajapewa jina lingine na Mheshimiwa Mbunge huwa anaitwa Mheshimiwa Mbunge wa eneo fulani. Hakuna jina kama “mzungumzishi” ama cheo cha “mzungumzishi”. Je, ni haki dadangu kuendelea kutumia jina “mzungumzishi”? Tunaomba aliondoe jina hilo jina atumie jina Bwana Spika."
}