GET /api/v0.1/hansard/entries/922475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922475,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922475/?format=api",
"text_counter": 141,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Ahsante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ninamheshimu sana Seneta mteule anayetoka katika Kaunti ya Kwale, Sen. (Dr.) Zani. Yeye ni msomi na mjuzi wa Lugha ya Kiswahili. Kwa kweli, mtu ambaye anaongoza kikao katika Bunge ni Mwenyekiti ama Bwana Spika. “Mzungumzishi” ni yule ambaye anafanya watu ambao ni bubu waweze kuongea."
}