GET /api/v0.1/hansard/entries/922486/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922486,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922486/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Bw. Spika, sisi ambao tunatoka eneo la Ukambani hatuna ufasaha mzuri wa Kiswahili. Hata hivyo, kwa sababu swala hili la “mzungumzishi” limeleta kizungumkuti na utata, ningeomba umpatie nafasi Sen. (Dr.) Zani alete kamusi ambayo itafafanua jambo hili, ili baina ya Sen. Wario ambaye anasema “mzungumzishi” ina maana tofauti, na Katiba ya Kenya ambayo imetafsiriwa kwa Kiswahili--- Hata mimi niko nayo. Naomba nije nayo kesho ili tujadili swala hili na kuamua kama tunaweza kumwita Bw. Spika “mzungumzishi”. Asante sana, Bw. Spika."
}