GET /api/v0.1/hansard/entries/922488/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 922488,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922488/?format=api",
    "text_counter": 154,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Malalah",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13195,
        "legal_name": "Cleophas Wakhungu Malalah",
        "slug": "cleophas-wakhungu-malalah-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, sisi kama Waswahili wa bara, tumeangalia katika kamusi ya mtandao, ambayo kwa jina ya kizungu inaitwa Google . Neno “mzungumzishi” kwa lugha ya kimombo inamaanisha chatter . Ningependa kusema kwamba lugha ambayo Sen. (Dr.) Zani ametumia siyo lugha ambayo tunaweza kutumia katika Bunge hili. Ningependa kumhimiza ya kwamba ni muhimu haswa wale Waswahili ambao wanatoka eneo la Pwani waache kutumia maneno makubwa kututisha sisi ambao tunatoka bara. Watumie ngeli ambazo zinaeleweka. Kiswahili cha kule Kakamega The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}