GET /api/v0.1/hansard/entries/922503/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922503,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922503/?format=api",
"text_counter": 169,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13119,
"legal_name": "Agnes Zani",
"slug": "agnes-zani"
},
"content": "ambayo nimepewa na Sen. Faki. Jina hilo lipo. Sitasema unisamehe kwa sababu wenzangu hawakujua kwamba jina hili liko. Vile nilisema, tunaweza kuliacha jambo hili kwa leo na kwa heshima ya Waswahili ambao wamefanya bidii kukuza lugha hii ya Kiswahili. Najua nikizumgumza vile nilivyosema ninakumbuka na nikifikiria haya, tuseme tuweke, tuache watu waangalie na watuelezee vile tutakavyoenda mbele. Hatuwezi kusema tusitumie neno ambalo limetumika. Asante Bw. Spika."
}