GET /api/v0.1/hansard/entries/922504/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 922504,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922504/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, asante. Kuna tafakari mbili hapa za Google. Google ile ya Sen. Malalah inasema wewe ni chatter Ile Google nyingine inasema ya kwamba wewe ni “mzungumzishi”. Hata hivyo, tunasema ya kwamba Google hizi zote mbili hazifai kwa sababu sio Kamusi ya Kiswahili. Google moja imetoa kwa maktaba na nyingine ya Sen. Malalah ninafikiria pengine ame-Google pande hiyo--- Maktaba imetoka upande za Pwani; hii ya Sen. Malalah ambapo Spika anaitwa chatter hatujui ni ya upande gani. Katika maoni yangu, hiyo amri uliyotoa kwanza---"
}