GET /api/v0.1/hansard/entries/922506/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922506,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922506/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, mimi ninaongea hapa katika Bunge na ningependa unitegee masikio kwa sababu ukishatoa amri iwe ni sawa au si sawa, ni lazima amri yako itimie ndani ya Bunge hili. Hatusemi kwamba yale Seneta dada yangu alivyokuwa anasema au Sen. Malalah wana makosa. Lakini tunasema kwamba kwa sababu umetoa amri, hiyo amri yako itimie halafu kama kuna marekebisho ya aina yoyote, yaletwe kesho; sio leo baada ya Bw. Spika kutoa amri ya Bunge hili."
}