GET /api/v0.1/hansard/entries/922519/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 922519,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922519/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13119,
"legal_name": "Agnes Zani",
"slug": "agnes-zani"
},
"content": "I am explaining! Naelezea tafadhali na ni muhimu kuelezeana! Kuna aina moja ya Google ambayo inaeleza ya kwamba mzungumzishi ni sawa. Leo jioni nitazungumza na Prof. Abdulaziz, Prof. Kithaka wa Mberia na Waswahili wengine halafu tutaleta hoja hiyo na tuizungumzie ili tuijue. Kiswahili Hoyee!"
}