GET /api/v0.1/hansard/entries/92325/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 92325,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92325/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Joho",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 30,
        "legal_name": "Hassan Ali Joho",
        "slug": "hassan-joho"
    },
    "content": "katika eneo langu hali ya usalama ni mbaya sana. Hii ni kwa sababu baada ya kila wiki moja kuna ripoti ya mtu mmoja au watu wawili kuuwawa na majambazi. Je, ni kwa nini Serikali haijatuma askari wa kutosha katika sehemu hiyo? Je, ni kigezo gani mnachotumia kujua eneo fulani lina hali mbaya ya usalama na linahitaji askari wengi?"
}