GET /api/v0.1/hansard/entries/923644/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923644,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923644/?format=api",
    "text_counter": 33,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Kama unavyoniona, nimesimama wima kama mlingoti, bila kuyumbayumba, ili kuunga mkono Taarifa iliyotolewa na Seneta wa Kaunti ya Mombasa, ya kwamba makao makuu ya uvuvi yajengwe huko Pwani."
}