GET /api/v0.1/hansard/entries/923646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923646,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923646/?format=api",
"text_counter": 35,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, sisi tunasema kwamba Kamati husika iangalie jambo hili. Sisi hatutakuja kulalamika wakati ofisi na makao makuu tayari yamejengwa. Saa hii, ambapo bado makao hayo hayajajengwa, na wananuia kujenga, ndio tunataka Kamati husika iaangalie na waseme, “La sivyo; wacha tujenge huko Pwani ya Kenya.”"
}