GET /api/v0.1/hansard/entries/923647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923647,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923647/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, kuna haja gani twende katika ugatuzi wa Kenya hii, wakati mambo muhimu ambayo yanafaa sehemu tofauti, kama vile Pwani, yanafanyika hapa Nairobi? Sisi tuko katika majimbo yaliyoko katika ugatuzi, na ni lazima tuyaweke mambo mahali yanafaa. Pahali panapofaa makao makuu haya ni Pwani ya Kenya. Kwa hivyo, naiomba Kamati husika iangazie maneno haya mapema ili makao hayo makuu yasijengwe hapa South C, Nairobi."
}