GET /api/v0.1/hansard/entries/923648/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923648,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923648/?format=api",
    "text_counter": 37,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, mimi ninaishi huko South C, na nilipoangalia sehemu hiyo, niliona kuwa dunia imejaa kabisa na ujenzi unaendelea kila wakati huko. Hali kadhalika, kama ujenzi huo utafanyika katika uwanja ya Serikali, basi haina haja. Serikali inaweza kutenga uwanja huo kwa miradi mingine inayofaa Nairobi. Sisi tuko na ardhi ya kutosha ambapo makao hayo yanaweza kujengwa huko pwani."
}