GET /api/v0.1/hansard/entries/923819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923819,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923819/?format=api",
"text_counter": 208,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherargei",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "Hoja la nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Singependa kumzuia rafiki yangu, Sen. Madzayo kuzungumza, lakini kuna methali ya Kiswahili ambayo inasema “Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.” Mimi nimesikia akisema “Ukishangaa ya Musa, utaona ya feri ya Likoni”. Sasa nimechanganyikiwa kidogo kwa sababu sijui kama methali hiyo umebadilishwa na wataalum wa lugha."
}