GET /api/v0.1/hansard/entries/923820/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923820,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923820/?format=api",
"text_counter": 209,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Mhe. Cherargei, hawezi kuelewa misemo au methali yote ya watu wa Pwani. Kwa hivyo, mambo ya bahari ambayo kivukisho chake ni feri, pengine hicho Kiswahili kimempita na hakuelewa nilichomaanisha. Hata hivyo, ninamshukuru sana kwa kuongea Kiswahili sanifu."
}