GET /api/v0.1/hansard/entries/923821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923821,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923821/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, tunaona maajabu hivi sasa tunayahamisha makao makuu ya uvuvi kutoka pwani ambapo kuna bahari. Hakuna nchi yoyote katika ulimwengu ambayo imetenda kitendo kama hicho isipokuwa Kenya. Jambo la kusikitisha ni kwamba utaona watu ambao wamepewa nyadhifa kama hizo ndio wanafanya ufisadi wa hali ya juu zaidi. Ukitaka kunyanyasa watu wa Pwani, basi wewe chukua uvuvi uulete hapa Nairobi ambapo hakuna bahari wala Ziwa Victoria. Ndugu yangu Sen. Sakaja hawezi kuelewa kwa sababu anatoka Kaunti ya Nairobi Mjini. Lakini anajua ya kwamba hapa Kaunti ya Nairobi Mjini hakuna bahari wala ziwa kubwa kama Ziwa Victoria."
}