GET /api/v0.1/hansard/entries/923822/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923822,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923822/?format=api",
    "text_counter": 211,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, tunapofikiria kujenga makao makuu ya uvuvi katika nchi hii, ni heri kufikiria maeneo ya pwani ambapo kuna bahari. Lakini utapaka kwamba mahali ambapo panatakiwa kutengenezwa huu mjengo, tayari kuna ofisi kuu ya fisheries. Kinachohitajika kuongezwa ni majengo zaidi ili watu wafaidike na shughuli za uvuvi."
}