GET /api/v0.1/hansard/entries/923823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923823,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923823/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika Wa Muda, nataka utafakari jambo hili. Wavuvi wanapata shida sana kusafiri kutoka Kaunti za Mombasa, Taita-Taveta, Kwale, Lamu na Tana River; kuja Kaunti ya Nairobi Mjini ambapo ndio makao makuu ya uvuvi. Vile vile watu wa Kaunti ya Kisumu kutoka upande za Nyanza wanalazimika kusafiri mpaka Nairobi Mjini kwa sababu ya uvuvi. Hiyo si haki. Ni haki ya watu wanaoishi katika zile kaunti tano za pwani wapewe nafasi yao ya kuwa na makao makuu ya uvuvi."
}