GET /api/v0.1/hansard/entries/923824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923824,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923824/?format=api",
"text_counter": 213,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherargei",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "Asante, Bw. Spika Wa Muda, kwa nafasi hii. Ningependa kuunga mkono Arifa ya ndugu yangu, Seneta wa Kaunti ya Mombasa, Sen. Faki. Kama tulivyosema katika sheria ya maswala ya majani chai, kwamba makao makuu ya maswala ya majani chai yawe katika mji wa Kericho. Jambo hili linafaa kuzingatiwa pia kwa mambo ya uvuvi kwa sababu hatuoni ziwa katika Kaunti ya Nairobi Mjini. Lengo kuu la ugatuzi ni kupeleka mashinani huduma zote."
}