GET /api/v0.1/hansard/entries/923825/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923825,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923825/?format=api",
    "text_counter": 214,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherargei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Ninamuunga mkono ndugu yangu, Sen. Faki. Ninafikiri hata sisi tunaotoka sehemu zinazopanda mahindi, tunataka pia maghala ya mahindi yawe katika mji wa Eldoret. Tukifanya hivyo, itasaidia kuleta uwiano mzuri, agenda kubwa, na azma na lengo nzuri la ugatuzi katika taifa la Kenya. Taasisi au vyombo vya Serikali au madola The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}