GET /api/v0.1/hansard/entries/923846/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923846,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923846/?format=api",
    "text_counter": 235,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Pareno",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13180,
        "legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
        "slug": "judith-ramaita-pareno"
    },
    "content": "Bw.Spika wa Muda, nimeelezwa kwamba tayari kuna ofisi ya utafiti katika kaunti za Pwani. Kwa hivyo, pesa hizo zingefaa kutumika kuipa nguvu ofisi hiyo ya utafiti na kazi ya uvuvi katika Pwani. Hatusemi kwamba ni wanapwani tu ndio wanaweza kufanya uvuvi; tunajua kwamba wale walio katika Ziwa la Victoria pia wanafanya uvuvi. Lakini haifai kwa msaada ambao malengo yake yalikuwa ni kaunti za Pwani urudishwe na kupelekwa katika ofisi za Nairobi."
}