GET /api/v0.1/hansard/entries/923848/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923848,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923848/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, natoa shukrani kubwa kwa Mhe. Sen. Faki kwa kuleta taarifa hii hapa. Kusema kweli, hili ni jambo la kusikitisha sana kwa sababu kama unavyojua, uvuvi nchini Kenya unafanyika sana katika upande wa Pwani, sehemu za Nyanza na Turkana."
}