GET /api/v0.1/hansard/entries/923849/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923849,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923849/?format=api",
"text_counter": 238,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, pia ni jambo la kusikitisha kuona kwamba makao makuu ya hizo ofisi yatajengwa hapa Nairobi. Kusema ukweli, ukiangalia wewe mwenyewe, jambo kama hili katika wakati kama huu, kama ni kweli hizo ofisi kujengwa, basi tuangalie Kilillahi na kihaki aidha zijengwe kwetu Pwani, katika sehemu za Turkana ama katika sehemu za Ziwa Victoria."
}