GET /api/v0.1/hansard/entries/923861/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923861,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923861/?format=api",
"text_counter": 250,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Naibu Spika, langu ni kumsaidia Sen. Faki, na kusema ukweli wa mambo ili Kamati husika iangalie maneno haya kwa makini. Tunataka Kamati hii imuite Waziri na wote wanaohusika ili kufafanua zaidi juu ya swala hili. Kama ni mambo ya kula na mengineyo, hata Mombasa na Kilifi mambo haya yanaweza kufanyika. Bw. Naibu Spika, naunga mkono taarifa hii."
}