GET /api/v0.1/hansard/entries/923863/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923863,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923863/?format=api",
    "text_counter": 252,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii kuchangia taarifa ambayo imeletwa na Sen. Faki. Ni muhimu kuhakikisha kwamba katika mwito wa ugatuzi tunagatua taasisi za kitaifa ambazo zinajiuzisha hususan na maswala ya kilimo. Ni jambo la kushangaza kwamba Nairobi hakuna samaki wengi. Iweje makao makuu ya hii taasisi yawe Nairobi? Tuendelee kugatua shughuli nyingi ili kuwe na uwakilishaji wa Serikali Kuu katika Kaunti ya Nairobi lakini tuanze kujenga miji mingine ili iweze kustawisha biashara na Wakenya waweze kwenda kule kwa sababu hapa Nairobi tunamsongamano mkubwa ambao unazuia uendeshaji wa shughuli za kiuchumi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}