GET /api/v0.1/hansard/entries/923871/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923871,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923871/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, imekuwa desturi kwamba tunapozungumza Kiswahili tunahimizana tuzungumze Kiswahili sanifu. Ndugu yangu ambaye siwezikumfunza Kiswahili hata kidogo, Seneta wa Kilifi, amesema ya kwamba wezake, Sen. Olekina na Sen. Pareno wanatoka kaunti za uchungaji."
}