GET /api/v0.1/hansard/entries/923873/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923873,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923873/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Amesema tena kwa mara ya pili ‘wachungaji’. Ukiangalia Nakala ya Bunge, utaona ya kwamba amesema ‘wachungaji’. Wachungaji ninavyowajua ni wale makasisi na wanaohubiri. Ni wachungaji au wafugaji? Lakini sijasema kaunti hizo hazina wachungaji."
}