GET /api/v0.1/hansard/entries/923877/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923877,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923877/?format=api",
"text_counter": 266,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, amesema kwamba nimetumia neno ‘wachungaji’ ambalo hata ndani ya Bibilia linamaanisha mtu anayetafuta kondoo aliyepotea na kumleta nyumbani. Nimesema kwamba hawa ndugu zangu wanaishi katika sehemu ambapo wanafuga mifugo kama vile ndugu yangu Sen. (Dr.) Ali anafuga ngamia, hawa wanafuga ng'ombe ambao wanatupatia maziwa na bidhaa zingine. Ndio maana nilisema nimeketi katikati ya dadangu na kakangu ambao ni Maseneta wa nguvu kutoka maeneo ya Kajiado na Narok. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}