GET /api/v0.1/hansard/entries/923881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923881,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923881/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13156,
        "legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
        "slug": "mutula-kilonzo-jnr"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Ninataka kuzungumza kwa kifupi kuhusu taarifa ambayo imewasilishwa na Sen. Faki. Kitu ambacho amesahau kukiweka katika taarifa yake ni kama Bw. Mbotela angeuliza, je, ni ungwana kweli kwamba makao ambayo yatazingatia uvuvi yajengwe eneo la South B, mahali ambapo Seneta wa Nairobi anamiliki? Sijaona jambo hili katika taarifa ambayo amewasilisha kama Serikali Kuu iliwaita Wakenya wanaotoka eneo la Pwani ili wapate mawaidha. Lakini, jambo hili lazima lizungumziwe. Hatushangai kwa sababu jambo ambalo linafanya Wachina kuleta samaki Kenya ndilo swala unaloliona kwamba wavuvi wanaotoka katika sehemu za Nyanza, Mombasa na Pwani wametupiliwa mbali na kuwachwa nyuma kimaendeleo. Vitu ambavyo vinazungumziwa na wafadhili ni jambo ambalo linaweza kuleta ajira. Ndugu yangu na kaka yangu ambaye Seneta wa Bugoma anamwita distinguished"
}