GET /api/v0.1/hansard/entries/923883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923883,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923883/?format=api",
    "text_counter": 272,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13156,
        "legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
        "slug": "mutula-kilonzo-jnr"
    },
    "content": ", Sen. Sakaja amepitisha Mswada ambao ungepatia vijana kazi. Vijana wengi wa Mombasa wangepata kazi kama headquarters zingejengwa katika eneo la Pwani. Kwa hivyo, lazima jambo hili liangaliwe kwa kimakini kwa sababu linaweza kuleta mapato kwa Serikali ya Kaunti ya Mombasa na Serikali Kuu. Jambo hili lifutiliwe mbali. Wakati mwingine, ukiangalia mambo yanayofanywa na Serikali ya Jubilee, utafikiria kuna mazingaumbwe Kenya."
}