GET /api/v0.1/hansard/entries/923888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 923888,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923888/?format=api",
    "text_counter": 277,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Nakubaliana na wezangu ambao wamezungumza mbeleni kwamba yale yanataka kufanyika ni unyanyapaa wa hali ya juu. Sisi watu wa Pwani, hasa Kilifi, Mombasa na Kwale ni Wakenya kama Wakenya wengine. Kwa hivyo, kama peas zimekuja kama zimetulenga, wachazitufikie. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}