GET /api/v0.1/hansard/entries/923894/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923894,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923894/?format=api",
"text_counter": 283,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kitendo hicho ni kama kutoa nyama kwa mdomo. Sisi kama Maseneta ambao tumekuja katika Bunge hili ili tuweze kuwa kitu kimoja, tunaipinga. Ningependa kwanza kuomba kwamba makao ya Waziri wa Kilimo, ufugaji na uvuvi yanastahili kuwa katika maeneo ya pwani. Hii ni kwa sababu jimbo la pwani linaweza kulisha Kenya yote kwa issue ya samaki . Shukrani."
}