GET /api/v0.1/hansard/entries/923904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 923904,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923904/?format=api",
"text_counter": 293,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13119,
"legal_name": "Agnes Zani",
"slug": "agnes-zani"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Mimi ninataka kusimama kwa muda mfupi sana kuunga mkono taarifa hii ambayo imeletwa na Sen. Faki. Tumezungumzia hili jambo kwa muda mrefu. Ninataka kutoa changamoto moja kama viongozi wengi kila mahali wamesema si haki kujenga ofisi hii hapa Nairobi ilhali inaweza kujengwa Pwani. Ni muhimu kama Wabunge wote watatuunga mkono jambo hili. Wale ambao ni wabunge kutoka pwani, wawe kifua mbele zaidi kuhakikisha kwamba jambo hili limeangaliwa vilivyo."
}