GET /api/v0.1/hansard/entries/924207/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 924207,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/924207/?format=api",
    "text_counter": 84,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Leo nilienda Lewa Marathon wanapofanyia itikadi ya kukimbia. Tulimpata simba mmoja ambaye hana mke. Hiyo yote imeletwa na uwindaji bandia. Tuliuliza na tukaambiwa ya kwamba simba huyo ni wakiume na anahangaika kutafuta mwenzake watakayeishi naye pamoja."
}