GET /api/v0.1/hansard/entries/924209/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 924209,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/924209/?format=api",
"text_counter": 86,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, hili ni jambo la kusikitisha sana. Tunaangamiza sehemu moja ya tatu katika wanyama wetu. Kwa hivyo, ninasisitiza ya kwamba Shirika la KWS lichukue msimamo hususan wakumaliza wawindaji bandia. Ikiwa mtu hafanyi kazi kwa msitu au mbuga za wanyama, hana haki ya kwenda kule. Anaweza kwenda kama mtalii au apewa kibali cha kuingia kuangalia wanyama wetu na kufurahi kama wataliii halafu aondoke atuachie wanyama wetu vile walivyo. Lazima Serikali itilie mkazo jambo hili na kuwasaidia watu wanaofanya kazi katika Shirika la KWS."
}