GET /api/v0.1/hansard/entries/924672/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 924672,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/924672/?format=api",
    "text_counter": 549,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii ya kupitiswa kwa Ripoti kuhusu FYs 2013/2014, 2014/2015 na 2015/2016. Ripoti hii imekuja wakati ambapo kuna mvutano baina ya Bunge la Seneti na Bunge la Kitaifa kuhusu pesa ngapi zinafaa kupelekwa katika serikali za kaunti. Kwa hivyo, hii ni fursa nzuri kwa Seneti kuangazia hatari za kimaadili katika kaunti zetu, ili kupendekeza njia tutakayotumia ili kuboresha utendakazi wa kaunti, na kuhakikisha kwamba wananchi wanapata faida. Bi. Spika wa Muda, Kamati ya Seneti kuhusu Uhasibu na Uwekezaji iliangalia ripoti 235 za serikali za kaunti."
}