GET /api/v0.1/hansard/entries/924686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 924686,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/924686/?format=api",
    "text_counter": 563,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "kwa Kiingereza. Kwanza, utapata kwamba katika kaunti nyingi, uajiri wa wafanyikazi unafanywa kwa kikabila. Utapata kwamba asilimia zaidi ya 70 ni wa kutoka kabila moja, na hii inavunja sharia. Inamaanisha kwamba wafanyikazi hawawezi kuajiriwa kulingana na uwezo wa kufanya ile kazi."
}