GET /api/v0.1/hansard/entries/925345/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 925345,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925345/?format=api",
    "text_counter": 329,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Zuleikha Hassan",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": " Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa nafasi hii. Ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu wafanyikazi wengi wa Serikali na nyanja tofauti wamekuwa wakipata shida sana kuhusiana na pesa zao za uzeeni. Shida hiyo imewafanya kuwa maskini wakati ambapo wanahitaji hizo pesa na wamezeeka. Wamekuwa wakiekeza pesa zao katika mijengo, mashamba na mambo kama hayo. Kuna shida ukiwekeza huko. Juzi kule Kaunti ya Kwale, kuna mzee mmoja aliyestaafu na ana shamba lake kule sehemu ya Kanana Lungalunga. Matingatinga yakaja kwa msaada wa baadhi ya watu katika Serikali na kung’oa miti na kutishia kung’oa nyumba. Tunashukuru kuwa Bwana Matiang’i alisimamisha kazi hiyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}