GET /api/v0.1/hansard/entries/925435/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 925435,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925435/?format=api",
    "text_counter": 84,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii nichangie taarifa hii ambayo imeletwa na Sen. Seneta. Kusema kweli hili ni jambo la kusikitisha sana kwa sababu kama unavyojua, kwenye vichinjio kuna watu wa afya pale. Kama ng’ombe au kuku anachinjwa wako pale kupiga ile nyama muhuri. Hili ni jambo la kusikitisha sana. Tume onyeshwa juzi katika runinga vile nyama ina vyoletwa kwenye maduka ya"
}