GET /api/v0.1/hansard/entries/925439/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 925439,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925439/?format=api",
"text_counter": 88,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "waangalie. Hawa maofisa wa afya huwa wako wapi wakati mifugo hawa wanapo chinjwa kwenye vichinjio hivi? Hawafai kukaa tu na kuchukua mishahara mwisho wa mwezi. Bw. Spika, naunga mkono taarifa hii. Ningepekeza Kamati ya Afya itakayo chunguza jambo hili waende katika vichinjioni na kuhakikisha kwamba kweli mifugo na kuku hawa wanapo chinjwa wanapigwa muhuri. Naunga mkono."
}