GET /api/v0.1/hansard/entries/925468/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 925468,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925468/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omanga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13175,
        "legal_name": "Millicent Omanga",
        "slug": "millicent-omanga"
    },
    "content": "Kwa sababu ya ufisadi, utapata maafisa ambao wanafaa kukagua hivi vyakula madukani hawatilii maanani. Wanachukua tuu hongo na hawazingatii viwango vinavyotakikana. Wananchi wanafaa sasa kula mboga tuu au tununue nyama Halal . Kwa mfano, ninanunua nyama kutoka kwa maduka yanayo uza nyama halali kama sivyo, tunakula mboga tuu."
}