GET /api/v0.1/hansard/entries/925469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 925469,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925469/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Omanga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13175,
"legal_name": "Millicent Omanga",
"slug": "millicent-omanga"
},
"content": "Haya ni mambo ambayo tunafaa kuangalia. Hata tukiweka sheria, tufuate ile sheria ya Kiislamu jinsi wanavyotengeneza nyama yao. Tukibuni sheria, hayo ni mambo ambayo Kamati ya Afya inapaswa kuangalia. Hii ni kwa sababu hatujasikia kuhusu duka lolote linalouza nyama Halal likiuza nyama ambayo ina chembe za sodium na kadhalika. Nina pendekeza sote tuanze kula nyama Halal ."
}