GET /api/v0.1/hansard/entries/925479/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 925479,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925479/?format=api",
"text_counter": 128,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi. Kwa kweli dunia imeharibika. Bidhaa na hasa vyakula vimeharibiwa kabisa. Bidhaa za nyama zikiwekwa kemikali ili zisioze ama zikae kwa muda murefu, tunakiuka hali halisi ya chakula. Katika hali hiyo, nyama inawekwa madawa ili ikae siku mbili au tatu bila kuharibika. Ile kemikali ambayo inawekwa hiyo nyama kwa muda mrefu inaweza haribu afya ya mwanadamu."
}