GET /api/v0.1/hansard/entries/925503/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 925503,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925503/?format=api",
    "text_counter": 152,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika. Tangu nchi hii ipate uhuru mpaka sasa, hatuja wahi kuwa na aibu kubwa kama hili jambo la wakenya kula nyama iliyo dungwa dawa. Maduka ambayo yana patikana na hatia ya kuuza nyama mbovu ni lazima yafungwe mara moja. Veterinary inspectors wana takikana wafanye kazi yao vizuri. Tunajua ya kwamba kuna ufisadi mwingi unao endelea na hatutaki kusema ya kwamba hao ni wafisadi kwa sababu hakuna hatua ya kisheria ambayo ime chukuliwa lakini tuna sema ya kwamba huu upotevu ni wa kusikitisha. Daktari ambao wana chunguza nyama wasiwe wazembe katika kazi."
}