GET /api/v0.1/hansard/entries/925509/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 925509,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925509/?format=api",
    "text_counter": 158,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, katika sheria zetu, mtu hana hatia mpaka apatikane na hatia. Hawa madaktari ambao wana chunguza hao wanyama ndio wako na hatia. Ni lazima hao madaktari wazingatie ya kwamba wakenya wana tumia chakula hiyo na wanaweza poteza maisha yao wakikula chakula mbaya."
}