GET /api/v0.1/hansard/entries/925592/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 925592,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925592/?format=api",
"text_counter": 241,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Kiswahili kimeleta shida. Ninamkosoa ndugu yangu kutoka Homa Bay. Sisi tunajua Katiba ya Kenya imetafsiriwa. Niko na Katiba ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Nimemuona Kamishna wa Parliamentary Service Commission (PSC), Beth Mugo hapa. Inafaa kutuekea bajeti ili Katiba ambazo zimetafsiri kwa lugha ya Kiswahili ziwekwe katika Bunge letu ili wale walio na uhodari wa kuzungumza au kusoma waweze kufanya hivyo. Kuzungumza ni rahisi lakini kusoma ni shida. Ndugu yangu Sen. Faki anasema amefurahi tunazungumza Kiswahili sanifu. Kiswahili ni cha kila mtu. Nilazima isisitizwe tuanze kutafsiri."
}