GET /api/v0.1/hansard/entries/926157/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 926157,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926157/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "570 peke yake mbali wote wa 5,000 wamehusishwa. Kufikia hapo, wangekuwa wamepata habari kamili kuwa aliyepata ardhi hii na anayetajwa sana hapa kushinda wenzake aliipata vipi, na kama aliipata kwa hali ya usawa ama kwa kununua kutoka kwa majirani zake. Basi iwe watu wamekubaliana kweli labda wao ndio walikosea walipomuuzia wakati aliuliza kupata vipande hivi vya ardhi."
}