GET /api/v0.1/hansard/entries/926158/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 926158,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926158/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Ukweli ni kwamba sioni kama Ripoti hii iko kikamilifu hapa mbele ya Bunge la Kitaifa. Mwenye Kiti na Wabunge wa Kamati wamejaribu sana kuangalia jambo hili. Ninajua wanaangalia kuwa Wizara inayosimamia masuala ya wanajeshi inataka kufanya hii shughuli na hivyo basi wana hiyo haraka. Wahenga wanasema, “Haraka haraka haina baraka.” Hivyo basi, ninapendekeza warudi wahusishe wahusika na washika dau wote na bila shaka, watapata mwelekeo bora."
}