GET /api/v0.1/hansard/entries/92616/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 92616,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92616/?format=api",
    "text_counter": 387,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda hapa ingawa tunazungumzia jambo hili wale watu ambao wanaumia ni wamama na watoto kwa sababu mama atapoteza mtoto wake kwa wizi wa mifugo. Mama pia atakosa chakukla cha kulisha yule mtoto wake. Hili jambo la wizi wa ng’ombe lingekuwa linachukuliwa kama jambo zito sana kwa sababu maisha ya watu wengi yamepotea. Mimi ninaonelea kwamba hili jambo silo la Isiolo na Samburu East peke yake bali linajumulisha jamii ya wafugaji wote. Ukiangalia mambo ya Pokot na Samburu, tulipoteza watu 30 kwa siku moja. Watu 30 kufa siku moja na kuzikwa katika kaburi moja ni jambo ambalo linashangaza kila mtu. Ukiangalia, hakuna hatua ambayo imewahi kuchukuliwa kwa kitendo hicho cha watu 30 kufa siku moja. Kwa hivyo, hili"
}