GET /api/v0.1/hansard/entries/92618/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 92618,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92618/?format=api",
    "text_counter": 389,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Mimi ninashukuru “peace caravan” ambayo tulianzisha na vijana kutoka pande zote. Wakati tuliingilia kati na kuuliza wananchi kwa nini vita vinazuka tulipata ukweli. Kuna wananchi ambao walituambia kwamba hawajasalimiana kwa miaka mitano. Mara nyingi wanaenda kusalimia wenzao na bunduki. Kwa hivyo unaweza kujiuliza ni jambo gani linaloendelea. Unaweza kupata kwamba ile habari ambayo inafika kwa Serikali ni tofauti na ukweli. Kwa hivyo, ingekuwa muhimu kama tungepata ukweli. Sisi tunaunga mkono hii ripoti kwa sababu inaweza kusaidia."
}